NEPSTA COMPANY LTD
iliingia ubia na kampunu kutoka china ijulikanayo kama NEPTUNUS COMPANY kwa lengo la kuwezesha kufikisha huduma ya kiafya kwa watu na kwaaji ya kukuza kipato cha mawakala/wasambazaji wake.
basi tuangalie historia ya Neptunus kwa ufupi. Neptunus ni kampuni iliyo anzishwa mwaka 1989 baada ya viwanda vitatu vya umma kuungana. Viwanda hivi hujishugulisha na kutengeneza dawa za mahospitalini(natural drugs) yani dawa asili. Viwanda hivi ni 1?NEPSTAR CHAIN DRUGSTORE CO. LTD kipo new york stock exchange marekani
2?NEPTUNUS BIO-ENGINEERING CO LTD kipo shenzhen stock exchange
3? NEPTUNUS INTERLOG BIOTECHNIQUE CO LTD kipo hongkong.
Hayo matatu ni masoko ya hisa ya kampuni ya neptunus. Kampuni hii ilianza kuzalisha dawa kabisa za kutibu magonjwa sugu na virutubisho mbalimbali ambazo leo ni changamoto kubwa duniani kwani mwaka 1998 kampuni hii ilitunikiwa tuzo ya GMP(Great manufacturer Company) hii ni kwa sababu ilitunikiwa tuzo miaka mitatu mfululizo za NOBEL kutokana na bidhaa ya GOLDEN OYSTER na GINKARDIO suluhisho la pressure. Hivyo bidhaa ziko kutimiza malengo ya mteja na mfanya biashara anae taka kutimiza ndoto.
Mwaka 2010 kampuni hii iliweka mikakati kuja kuisaidia AFRICA katika nyanja ya KIUCHUMI na kutokomeza MAGONJWA SUGU.
Kampuni hii ilikaa chini na kupanga MIKAKATI chini ya usimamizi wa Ndug ZHANG SIMIN ambaye ni kijana mdogo aliyezaliwa mwaka 1969 na ni tajiri mkubwa sana china na anae miliki kampuni kubwa bora china nzima.�
Bwana ZHANG SIMIN alikaa chini na kuangalia makampuni mengine yaliyoko africa yalikuja na mtazamo gani na udhaifu gani katika bidhaa na biashara. Iliingia africa ikajenga makao makuu kila kanda GHANA,SOUTH AFRICA,KENYA,TANZANIA na Ikasambaa nchi zingine.
Ni kampuni ambayo inatengeneza dawa katika package za kisasa yaani SOFT GEL,CAPSULES,TABLETS. Dawa zote hizi zinatokana na mimea, matunda,samaki,na mboga mboga. Hizi ni 100% natural hazina chemical kabisa pia hawatumii vyakula na matunda ya kutengenezwa. Wanatumia mimea asilia.
Ni kampuni ya pekee yenye DAWA �kabisa za kutibu magonjwa TABIA.
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa no;0654 342752 au 0655 338899