BIASHARA YA MTANDAO-MAMBO YANAYOKWAMISHA WENGI KUFANIKIWA
MAMBO YANAYOSABABISHA WATU KUSHINDWA BIASHARA HII YA MTANDAO.
??Kupenda bidhaa kuliko mfumo wa biashara. Watu wengi uwaza kuuza bidhaa badala ya kuwaza kufanya uwekezaji kwa kujenga timu zao.
??Kutokubali kufundishika. Watu wengi ujifanya wajuaji kisa ni wasomi au wanacheo fulani ivyo ujifanya wanajua na kutokubali kujifunza
??Kutumia mitandao ya kijamii bila elimu ya kutosha.
??Kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu bidhaa za kampuni husika. Na hii usababishwa na watu kutotaka kupokea mafunzo kutoka kwa waliowatangulia ktk biashara
??Kujivika nyadhifa zisizo stail ktk biashara. Mfano mtu akishaanza kuuza bidhaa za afya anaanza kujiita dactari badala ya mshauri wa afya
??Kutaka mafanikio ya haraka ndani ya muda mfupi.
??Kutumia mbinu zinazogharimu pesa nyingi kuliko kipato chao.
??Kutaka kufanya biashara na kila mtu. Sio kila unayekutana naye anastahili.
??Kupenda kufanyiwa biashara. Yani watu utegemea downline wao wafanye badala yao badala ya kuendelea kuongeza juhudi bila kujali kama wapo.
??Kutokuwajibika kuwafundisha downline wako. Sasa hii ndio inagharimu watu wengi. Usipomfundisha downline wako mwenyewe husifikilie kama atasonga mbele ata kidogo.
Hayo ni mambo ambayo yamekuwa yakipelekea watu wengi wanaingia ktk mfumo huu wa biashara lakini mwisho wa siku wanapotea baada ya muda mfupi.
KARIBU TUJADILIANE NA NIKUFUNDISHE SIRI ZA MAFANIKIO NDANI YA BIASHARA YA MTANDAO NA NI KAMPUNI ITAKUFAA KWA MAFANIKIO YAKO.
TUWASIRIANE KWA NO;0655 338899
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home